Wednesday, June 6, 2012

MGOMBEA AWAASA WANACHAMA WA KLABU YA YANGA KUCHANGA 5000 KILA SIKU

Mgombea wa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya yanga Bw, Ayubu Nyenzi katikati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam alipokutana wakati alipokutana nao na kuelezea nia yake ya kugombea kiti hicho ambapo alisema kuwa anataka agombee ili awaase wanachama wa Yanga kuchanga kufunga mkanda na kuchangia klabu hiyo shilingi 5000 kila siku kwa ajili ya kumaliza matatizo yaliyopo klabuni hapo na sio kutegemea misaada kutoka kwa wafadhili. Alisema kuwa endapo wanachama watatoa Sh, 5000 kila mmoja  zitapatikana kiasi cha sh, milioni 70 kwa mwezi.

No comments:

Post a Comment