![]() |
Mmoja wa wasanii wa kundi la Shilole akitumbuiza mbele ya wageni mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyoi. jana jion |
![]() |
Waigizaji wa filamu mbalimbali wakiwa wamesimama mbele wakati walipokuwa wakitambulishwa katika hafla hiyo na mwenyekiti wa ZIFF Bw. Mahmoud Thabit Kombo. |
![]() |
Kutoka kulia ni Jacob Steven. Raymond Kigosi na Cloud waigizaji wa filamu za Bongomovie wakiwa katika hafla hiyo |
![]() |
Mwigizaji Aunt Ezekiel kushoto akiwa na waigizaji wenzake. |
![]() |
Mwigizaji Jaquiline Walper kushoto akiwa na waigizaji wengine katika hafla hiyo wa tatu kutoka kulia ni mchezaji wa timu ya Simba Uhuru Selemani. |
No comments:
Post a Comment